Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Musk amwaga mamilioni ya dola kumnusuru Trump

Uchaguzi wa wawakilishi wa Wamarekani ndani ya Bunge na Seneti umefika 'patamu,' ni kama ushindani wa kununua kura baada ya tajiri nambari wani duniani, Elon Musk kujitosa kusaidia chama cha Rais Trump kisiangukie pua.

Alhamisi, 29 Oktoba 2026 · 08:51Dakika 1 kusoma
Musk akifurahia jambo katika moja ya mikutano ya kusaka urais wa Marekani mwaka 2024.
Musk akifurahia jambo katika moja ya mikutano ya kusaka urais wa Marekani mwaka 2024. — Picha ya AFP

TAJIRI namba moja duniani, Elon Musk, ameongeza ufadhili wa kampeni za Republican kuelekea uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani, akisaidia chama cha Rais Donald Trump kupigania kuendelea kudhibiti Bunge.

Uchambuzi wa vyombo vya habari vya Marekani, unaonyesha kuwa taarifa za fedha za uchaguzi, michango ya trilionea huyo imefikia takribani dola milioni 446 (zaidi ya Shilingi trilioni 1.18 za Tanzania)

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia