Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Uchaguzi Marekani kuamua nguvu za Rais Trump

Uchaguzi wa muhula nchini Marekani unafanyika leo ambapo wabunge ndani ya vyombo vyenye nguvu watapatikana na kuamua chama gani kinakuwa na sauti zaidi kati ya Democrat na Republican cha Rais Trump.

Jumanne, 3 Novemba 2026 · 13:52Dakika 1 kusoma
Rais Trump
Rais Trump — Picha ya Mtandao

WAMAREKANI wenye sifa za kupiga kura, leo, Novemba 3, 2026, wanapiga kura katika uchaguzi wa katikati ya muhula, ambao utaamua chama kitakachodhibiti Bunge la Congress linaloundwa na Bunge la Wawakilishi na Seneti.

Matokeo ya uchaguzi huo yanaweza kuongeza au kupunguza nguvu za kisiasa za Rais Donald Trump, endapo chama cha Democratic kitashinda udhibiti wa bunge moja au yote mawili na kukipa chama hicho nguvu zaidi kupinga sera zake na kuchunguza utawala wake.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia