Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Burudani

Mwa FA: Mr Cheeks ameufurahia muziki wangu

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu Mwana FA, amesema rapa kutoka Marekani, Mr. Cheeks ameufurahia muziki wake.

Jumatatu, 21 Septemba 2026 · 06:00Dakika 1 kusomaToleo 183, uk. 36

Mwa FA alitoa kauli hiyo juzi usiku alipozungumza na waandishi wa habari katika viwanja vya General Tyre lilipofanyika tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva, jijini Arusha.

“Kabla ya kuja hapa nimepiga story nyingi na Mr Cheeks, ametupongeza kwa kuwa na tamasha kama hizi na ameniambia huwa anaufurahia muziki wangu,”amesema Mwana FA.

Amesema msanii mkubwa kama Mr Cheeks kufanya ‘show’ kwenye tamasha hilo limewaongezea thamani miaka 30 ya.

  • Bongo Fleva
  • Mwana FA
  • Mr Cheeks
  • Muziki

Soma Pia

Mwa FA: Mr Cheeks ameufurahia muziki wangu | Pambazuko