Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

SELF Fund yaingia kwenye mikopo ya nishati safi ya kupikia

Taasisi hiyo ya umma inakaribia kushirikiana na Positive Cooker kuwezesha wananchi kupata majiko janja kwa mkopo, hatua inayolenga kupanua matumizi ya teknolojia za kupikia zinazotumia umeme kwa ufanisi.

Jumatano, 28 Oktoba 2026 · 11:26Dakika 4 kusoma
Mkurugenzi wa Kampuni ya Positive Cooker inayojihusisha na uuzajiw a majiko janja, Atukuzwe Nya, akieleza jinsi majiko hayo yanavyofanya akzi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Positive Cooker inayojihusisha na uuzajiw a majiko janja, Atukuzwe Nya, akieleza jinsi majiko hayo yanavyofanya akzi. — Green Waves Media

Na Mwandishi Wetu

SELF Microfinance Fund imeanza kupanua huduma zake za mikopo katika eneo la nishati safi ya kupikia, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuongeza upatikanaji wa teknolojia zinazolinda mazingira na kupunguza gharama za nishati majumbani.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia