Tafakuri ya Bagonza
Tanzania inapaswa kuzingatia mambo haya
TAIFAletulimekumbwanatatizokubwa.Tatizohilolilitokea;huondioukweliambaohatupaswikuuficha.
Badalayakulikabilikwauwazi,tumekuwatukituhumiana,kutafutanawachawinakupotezana.Propagandanayoimekuwakisingiziochakucheleweshasuluhuyakudumu.
Kiliochaukwelinamaridhianohakipewinafasiinayostahili.Muda,nguvunarasilimalizinazohitajikakusikilizawalioathirikanakutafutanjiayapamojazinatumikakujengatuhumanakuenezapropaganda.
Hatuwezikutarajiaamaniyakweliikiwatunakataakujuakilichotokea,kuwajibishawaliokoseanakuwapawaathirikanafasiyakusikilizwa.
Bilamaridhianoyakwelihatutafikambali.
Taifaletulinawezakugeukakitaluchakustawishavisasi,ambapokilakizazikinarithiuchunguwakilichotendwakwakilichotangulia.Tusipolipwanatunaowatesa,tutalipwanaMungu.
MaandikokatikaIsaya34:8naWarumi12:19yanatukumbushauzitowakisasinahukumu.
Hatakwawasioitazamahojahiikwajicholaimani,ujumbewakeniwazi:dhulumahaijengimsingiwataifalenyeutulivu.
GodblessLema,JohnHechenawanaharakatiwenginesikiinichatatizoletukamataifa.
Kuelekezanguvukatikaudhaifuunaodaiwawawatubinafsikunatutoakwenyeswalimuhimuzaidi;tunajenganchiyaainagani?
Kutumiahilaauvitendovyajinaikuwadhibitiwakosoajihakuondoisababuzinazowafanyawananchiwalalamike.Kunazidishahofu,kunapunguzauaminifunakunafungamlangowamazungumzo.
Taifahuunganishwanamaonoyapamoja,hakinaheshimakwautu;haliunganishwikwadamuwalahila.
Tanzanianikubwakulikomtuyeyotenachamachochote.Tunahitajiviongozinawananchiwenyeujasiriwakusemaukweli,kusikilizananakukubalikurekebishamakosa.
Bilamaonoyakitaifa,hatawaletunaowatumiakuwadhibitiwakosoajiwatakosamwelekeo.Njiayakutokasiyokumtafutamchawimwingine,balinikukabilitatizolenyewenakuanzamaridhianoyadhati.
MwandishiwasafuhiiniAskofuwaKanisalaKiinjililaKilutheriTanzania(KKKT),DayosisiyaKaragwe.NimchangiajimaalumwasafunamakalandaniyaPambazuko.
WaliowahikuwamaraiswaTanzania;AliHassanMwinyi,BenjaminMkapa,JakayaKikwetenaJohnMagufuli.(PichakutokaMaktabayaPambazuko).
- Tanzania
- Maendeleo
- Sera