Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari

Upasuaji warejesha mikono iliyokatwa kwenye ajali ya umeme

Hakika hujafa hujaumbika, ndivyo Waswahili husema na hili linathibika kwa rais mmoja wa Icelend aliyepata ajali ya umeme na kukatwa mikono yake yote, lakini sasa anatabasamu kwa kurejeshewa mikono baada ya upasuaji mkubwa.

Jumatatu, 16 Novemba 2026 · 12:01Dakika 2 kusoma
Grétarsson akiwa mwenye furaha baada ya kupandikizwa mikono
Grétarsson akiwa mwenye furaha baada ya kupandikizwa mikono — Picha kutoka Mtandao

BAADA ya kuishi kwa miaka 23 bila mikono yote, raia wa Iceland, Guðmundur Felix Grétarsson, amepata fursa ya kuishi maisha mapya kufuatia upasuaji wa kihistoria uliowezesha kupandikizwa mikono kutoka kwa mtu aliyefariki dunia.

Safari ya maumivu ya Grétarsson ilianza Januari 12, 1998, akiwa na umri wa miaka 26, wakati akifanya kazi ya ufundi umeme kwenye nyaya zenye msongo mkubwa wa umeme nchini Iceland.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia