Bustani ya Sheria
Uhalali wa mikataba ya mauziano ya ardhi ya kijiji
ARDHIyakijijinimiongonimwamaeneoyanayozalishamigogoromingiyakisheria,hasapalemauzianoyanapofanyikabilakufuatataratibuzinazotakiwa.
Swalimuhimunihili;Je,kusainianamkatabanakulipafedhakunatoshakufanyamauzianoyaardhiyakijijikuwahalali?
JibulinapatikanakatikakesiyaPriskilaMwainunudhidiyaMagongoJustus,iliyosikilizwanaMahakamaKuuyaTanzania,KandayaBukoba.
Mgogorohuoulitokananamauzianoyakipandechaardhiyaliyofanyikamwaka2011.MagongoJustusalidaikuwaalinunuaardhihiyokwamkatabawamaandishiulioshuhudiwanawatukadhaa.Hatahivyo,mkatabahuohaukuwaumeidhinishwanaHalmashauriyaKijiji,namajiraniwaliotajwakwenyemkatabahawakushuhudiamauzianohayo.
MahakamaKuu,chiniyaJajiKilekamajenga,ilisisitizaumuhimuwaidhiniyaHalmashauriyaKijijikatikamauzianoyaHakiyaKimilayaKumilikiArdhi(CustomaryRightofOccupancy).
MahakamailielezakuwaushirikiwaHalmashauriyaKijijinimuhimukwasababuunawezakusaidiakuthibitishakamamuuzajindiyemwenyehakihalali,kamaeneonimaliyaukoo,nakutambuamajiraniwaardhihusika.
Katikamazingirayakesihiyo,kutokuwepokwaidhinihiyokulikuwanauzitokatikakuamuauhalaliwamadaiyamauziano.
Mahakamapiailizingatiaushahidikuhusumauzianoyaliyofanyikanananialiyekuwaamepatahakihalalijuuyaardhihiyo.
Somolakesihiinimuhimukwamnunuziwaardhiyakijiji;mkatabawamaandishipekeehaupaswikuwasababuyakuaminikwambaumepatahakisalamayaardhi.
Nimuhimukufanyauchunguziwaumiliki,kushirikishamamlakahusikazakijijinakuhakikishataratibuzinazotakiwanasheriapamojanamazingirayakimilayaeneohilozimefuatwa.
Kwahiyo,kablayakulipafedhakwaajiliyaardhiyakijiji,mnunuzianatakiwakuhakikishakwanzakuwamuuzajianahakiyakuuza,eneolimetambuliwavizuri,namauzianoyamepitiautaratibuunaotakiwa.
Somolakisheria:Katikamauzianoyaardhiyakijiji,usalamawamkatabahautegemeikusainiananakulipanafedhapekee.
Utaratibuwakisheriaunaofuatwanisehemumuhimuyakulindahakiyamnunuzinakuzuiamigogoroyabaadaye.
MwandishiniMwanasherianaMchambuziwaSheriakutokaKGMAttorneys.
- Ardhi
- Sheria
- Vijiji
- Mkataba