Unataka kukopa SELF Fund? Fanya haya
Wakopaji wanashauriwa kujenga historia nzuri ya mikopo, kurasimisha biashara, kuimarisha miamala ya benki na kuwa na nyaraka za mali zinazokidhi masharti ya dhamana.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Wajasiriamali wanaotaka kupata mikopo kutoka Mfuko wa SELF Microfinance Fund wanapaswa kujenga historia nzuri ya ukopaji, kurasimisha biashara zao na kuonesha uwezo wa kurejesha fedha kwa wakati, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Biashara na Fedha wa mfuko huo, Petro Mataba.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa