Rukia maudhui makuu
Pambazuko
Ukweli Hauna Kutu

Habari Kuu

Utulivu watawala mwaka mmoja baada ya vurugu za uchaguzi

Hakuna tishio la kuwepo kwa maandamano yaliyokuwa yakihimizwa kufanyika leo - Oktoba 29, 2026 wakati Watanzania wakikumbuka kutokea kwa vurugu wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka jana. Soma zaidi...

Alhamisi, 29 Oktoba 2026 · 07:34Dakika 1 kusoma
Askari wakipeana maelekezo katika kutekeleza majukumu yao
Askari wakipeana maelekezo katika kutekeleza majukumu yao — Picha kutoka Maktaba ya Pambazuko

HALI ya utulivu imeonekana leo katika mikoa mitano ya Dar es Salaam, Mbeya, Arusha, Mwanza na Tanga, wakati Tanzania ikitimiza mwaka mmoja tangu vurugu zilizotokea wakati na baada ya  uchaguzi mkuu wa mwaka jana; Oktoba 29, 2025.

Mikoa hiyo mitano ndiyo ilikumbwa na vurugu zaidi na  rekodi zinaonyesha kuwa iliongoza kwa takwimu za vifo na majeruhi. Taarifa rasmi za serikali zinaeleza kurekodiwa mwa vifo 518.

Kikomo cha bure kimefikia

Umesoma makala 3 za bure mwezi huu

Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.

Mwezi

TSh 8,000

kwa mwezi

Mwaka

TSh 80,000

kwa mwaka

Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.

Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa

Soma Pia