Uchambuzi
Wakili aichambua hukumu ya Lissu
Maswali ni mengi juu ya hukumu aliyopewa Tundu Lissu wiki iliyopita. Je, uhaini na uchochezi ni makosa yanayohusiana kisheria? Uchambuzi wa mwanasheria nguli na mchambuzi anaeleza zaidi kuhusu kifungu cha 319 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Tundu Lissu, wakili mwandamizi, kiongozi mashuhuri wa upinzani na Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), alitiwa hatiani kwa kosa la uchochezi na jopo la majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam, Novemba 6, 2026.
Hukumu hiyo imeibua mjadala mpana miongoni mwa wananchi, wanasheria na wadadisi wa masuala ya kitaifa, hususan kuhusu misingi ya haki ya jinai, tafsiri ya sheria na mamlaka ya mahakama kumtia mshtakiwa hatiani kwa kosa tofauti na lile aliloshtakiwa nalo.
Kikomo cha bure kimefikia
Umesoma makala 3 za bure mwezi huu
Jiunge ili kuendelea kusoma bila kikomo, au ingia kama tayari una uanachama.
Mwezi
TSh 8,000
kwa mwezi
Mwaka
TSh 80,000
kwa mwaka
Au fungua akaunti ya bure ili hesabu yako ifuatane nawe kwenye vifaa vyote.
Lipa kwa M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money · HaloPesa